Tanzania Safari Channel

9.2 4

v1.1 by TBC3

Tanzania Safari Channel アプリダウンロード Tanzania Safari Channel アプリダウンロード

Tanzania Safari Channelの詳細

TBC3からリリースされた『Tanzania Safari Channel』は動画プレーヤー&エディタアプリだ。apkfab.com/jpから『Tanzania Safari Channel』のファイルサイズ(APKサイズ):19.04 MB、スクリーンショット、詳細情報などを確認できる。apkfab.com/jpではTBC3より配信したアプリを簡単に検索して見つけることができる。現在、Tanzania Safari Channel appのダウンロードも基本プレイも無料だ。『Tanzania Safari Channel』のAndroid要件はAndroid 4.2+なので、ご注意ください。APKFabあるいはGooglePlayから『Tanzania Safari Channel apk』の最新バージョンを高速、安全にダウンロードできる。APKFab.com/jpでは全てのAPK/XAPKファイルがオリジナルなものなので、高速、安全にダウンロードできる。
Chaneli ya Utalii (Tanzania Safari Channel) ilizinduliwa rasmi na Mheshimiwa Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tarehe 15/12/2018. Lengo la kuanzisha Chaneli hii ni kukuza utalii wa ndani na nje na halikadhalika kuhamasisha jamii kuhusu umuhimu wa uhifadhi.
Maudhui ya Chaneli hii yanalenga kuangazia maeneo ya uhifadhi kama vile: Wanyama wa porini, Viumbe wa Baharini, Misitu, Fukwe, Miamba na Majabari, Utamaduni, Malikale, Michezo, Kumbi za Mikutano na mengineyo.
Madhumuni ya Chaneli hii ni pamoja na:
i. Kuwawezesha Watanzania kuona na kubaini vivutio mbalimbali vilivyoko katika maeneo yote nchini;
ii. Kuwahamasisha wananchi wajenge utamaduni wa kutembelea maeneo yenye vivutio nchini;
iii. Kutangaza duniani vivutio vya utalii vilivyopo Tanzania ili kuongeza idadi ya watalii kutoka nje ya Nchi;
iv. Kuieleza na kuikumbusha Dunia kwamba Mlima Kilimanjaro, Hifadhi ya Serengeti, Ngorongoro na hata Zanzibar vipo Tanzania;
v. Kuhamasisha wananchi kutunza, kuenzi na kudumisha tamaduni za asili;
vi. Kuangazia na kuibua fursa mbalimbali zilizopo kwenye mnyororo wa biashara katika Sekta ya Utalii; na
vii. Kuyaenzi maneno ya Baba wa Taifa Mwalimu, Julius Kambarage Nyerere, aliyoyatoa mwaka 1961, kwamba “sisi sote tuna jukumu kubwa la kulinda na kuhifadhi vivutio vya utalii kwa manufaa ya vizazi vilivyopo na vijavyo”.
続きを読む
Tanzania Safari Channel 特徴
バージョン履歴 もっと見る
Tanzania Safari Channel
Tanzania Safari Channel 1.1 APK
2020年07月01日 19.04 MB
Variant
Arch
Version
DPI
arm64-v8a, armeabi, armeabi-v7a, mips, x86, x86_64
Android 4.2+
nodpi
arm64-v8a, armeabi, armeabi-v7a, mips, x86, x86_64
Android 4.2+
nodpi
追加情報

パケージ名:

com.tanzaniasafari.channel

更新日:

最新バージョン:

1.1

バージョンアップ申請:

最新版提出

Android要件:

Android 4.2+