Nyimbo Za Kristo

9.9 78

v2 . 5 . 9 di Awesomecode Tanzania

download Nyimbo Za Kristo XAPK download Nyimbo Za Kristo XAPK

Su Nyimbo Za Kristo

Nyimbo za Kristo ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 220 kutoka katika kitabu cha Nyimbo za Kristo cha kanisa la Waadventista Wasabato kwa lugha ya Kiswahili kama kilivyohaririwa na kuchapwa na TANZANIA ADVENTIST PRESS (TAP).
Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumuamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote, Nyimbo za kuburudisha, kutia moyo na kukufariji wakati wa huzuni.
Sifa za program ni kama zifuatazo:-
• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.
• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.
• Inakuwezesha kuona nyimbo kwa makundi.
• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (grazie a hymnserve.com per
gli accompagnamenti).
• Inakuwezesha kucheza ala ya wimbo hata usipokuwa kwenye programu
• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza
• Inakuwezesha kukuza ukubwa wa maandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona
inafaa.
• Inakuwezesha kuona wimbo uliofunguliwa mara ya mwisho kwa kuuangaza.
• Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi.
• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.

Aggiornamento Nyimbo Za Kristo 2 . 5 . 9

-Historia ya nyimbo zilizofunguliwa.
-Lesson Last week and Next week.
-Tazama video ya wimbo kutoka YouTube.
Leggi di Più
Caratteristiche Nyimbo Za Kristo
Versioni Precedenti Altro
Nyimbo Za Kristo
Nyimbo Za Kristo 2 . 5 . 9 XAPK APKs
October 31, 2026 25.9 MB

Requires Android: Android 7.0+

Architecture: armeabi-v7a

Screen DPI: 160-480dpi

SHA1: b5a4d408e634f0286107fa7135df10555fc362ce

Size: 25.9 MB

What's New:

-Historia ya nyimbo zilizofunguliwa.
-Lesson Last week and Next week.
-Tazama video ya wimbo kutoka YouTube.
Nyimbo Za Kristo
Nyimbo Za Kristo 2 . 5 . 7 XAPK APKs
October 27, 2026 25.89 MB
Variant
Arch
Version
DPI
armeabi-v7a
Android 7.0+
160-480dpi
arm64-v8a
Android 7.0+
160-480dpi
Nyimbo Za Kristo
Nyimbo Za Kristo 2 . 5 . 2 XAPK APKs
September 9, 2026 51.37 MB

Requires Android: Android 7.0+

Architecture: arm64-v8a

Screen DPI: 160-640dpi

SHA1: 18c28be489588f499843204ca675d5e046b5ad60

Size: 51.37 MB

What's New:

-Fixed UI on latest android
Nyimbo Za Kristo
Nyimbo Za Kristo 2 . 5 . 1 XAPK APKs
August 29, 2026 42.24 MB
Variant
Arch
Version
DPI
arm64-v8a
Android 7.0+
160-640dpi
armeabi-v7a
Android 7.0+
160-640dpi
Maggiori Informazioni

Data Aggiornamento:

Ultima Versione:

2 . 5 . 9

Aggiornamento Necessario:

Invia l'ultima versione

Disponibile su:

Google Play

Requisiti:

Android 7.0+