Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania

9.5 15

v2.5 by Tanzania Tech Media

Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania APK 下載 Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania APK 下載

關於 Nyubeat

Nyubeat(包名:com.app.muziki)開發者是Tanzania Tech Media,Nyubeat的最新版本2.5更新時間為2019年12月23日。Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania的分類是音樂與音效。您可以查看Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania的開發者下的所有應用並找到Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania在安卓上的2個相似應用。目前這個應用免費。該應用可以從APKFab或Google Play下載到Android 4.1+。APKFab.com的所有APK/XAPK文檔都是原始文檔並且100%安全下載的資源。
Kama unapenda kusikiliza Nyimbo Mpya za Tanzania basi Nyubeat ni app nzuri Kwako, App hii inakupa uwezo wa kudownload pamoja na kusikiliza nyimbo mpya za Tanzania kwa urahisi na haraka kuliko chanzo chochote hapa Tanzania.
Kitu kizuri kuhusu App hii ni kuwa ni rahisi sana kutumia na utaweza kudownload nyimbo mpya kutoka kwa wasanii wote wa Tanzania, pia kuanzia leo usijali kuhusu nyimbo yoyote mpya kwani hata kabla haijafika redioni utapata taarifa notification kwa ajili ya kudownload nyimbo mpya moja kwa moja kupitia simu yako.
Kama wewe ni mpenzi wa nyimbo mpya za bongo flava, au nyimbo mpya za dini za Tanzania, au kama wewe ni mpenzi wa video mpya kutoka Tanzania basi App hii ni nzuri sana kwako.
App ya Nyubeat haina sehemu nyingi za kubonyeza kwani tunajua wewe ni mpenzi wa nyimbo hivyo unahitaji kupata unachotafuta. Kwa kutumia sehemu ya kutafuta unaweza kupata nyimbo yoyote kutoka Tanzania, iwe ni nyimbo za mwaka 2017 hadi mwaka 2019 zote utazipata kupitia app hii.
Kwa sasa bado tunaendelea kuboresha app hii na kuongeza vipengele vipya vitakavyo kusaidia kupata nyimbo mpya za Tanzania kwa haraka zaidi.

Nyubeat 2.5 更新

Matangazo yamepunguzwa
Muoenakano umeboreshwa
Sasa changia kuondoa matangazo
Bugs Fix and Perfomance Improved
查看更多
Nyubeat 資訊
相關視頻
歷史版本 更多
Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania
Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania 2.5 APK
2020年01月05日 8.18 MB

Requires Android: Android 4.1+

Screen DPI: nodpi

SHA1: 401b54a029c02350416517dfdaf5d774000c36e5

Size: 8.18 MB

What's New:

Matangazo yamepunguzwa
Muoenakano umeboreshwa
Sasa changia kuondoa matangazo
Bugs Fix and Perfomance Improved
Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania
Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania 1.B4 APK
2019年06月20日 3.66 MB

Requires Android: Android 4.1+

Screen DPI: 120-640dpi

SHA1: 4c5754a81995d4802cc02237ddcd93e41bcb6ac3

Size: 3.66 MB

What's New:

New Release
更多資訊

包名:

com.app.muziki

更新日期:

最新版本:

2.5

請求更新:

提交最新版本

系統要求:

Android 4.1+