Tiba - Mimea na Quran

10.0 1

v1.0.3 по Vidfone

Скачать Tiba - Mimea na Quran APK Скачать Tiba - Mimea na Quran APK

О Tiba

Kuhusu Application
Katika application yetu utapata kujifunza jinsi ya kujitibu kwa kutumia mimea asilia , qur-an tukufu n.k , pia utapata kujua matatizo yanayomzunguka mwanadamu ya kishetani, majini ,uchawi na jinsi ya kuepukana nayo ili uishi kwa amani na maendeleo bila ya kupata mushkeri katika maisha ya kila siku.
Katika app hii kuna:-
matibabu ya maradhi
matumizi ya mimea asilia katika matibabu
matumizi ya Qur-an tukufu katika matibabu
Aina za uchawi na jinsi ya kuziepuka
Video za tiba (zinahusu matibabu ya maradhi ya mbalimbali yanayosababishwa na wachawi)
Mkusanyaji wa taarifia hizi:-
Taarifa zote katika app hii ni za ukweli na zimeandaliwa na Maalim/shekh/Doctor Suleiman S Ngusura anayepatikana katika ofisi zake Jijini Dar es salaam ,Tanzania
kama hujaelewa chochote au unamashaka yoyote usisite kuwasiliana na maalimu kwa mawasiliano yanayopatikana ndani ya application hii kupitia SMS,Whatsapp, au kumpgia simu na kuongea nae muda na wakati wowote. au unaweza ukamtumia barua pepe kupia anuani hii:-
SULEIMAN SALIM NGUSURA,
P . O. BOX 13587,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA.

Обновление Tiba 1.0.3

We've set our privacy policy
Читать далее
Особенности Tiba
Предыдущие Версии Больше
Tiba - Mimea na Quran
Tiba - Mimea na Quran 1.0.3 APK
September 29, 2018 4.46 MB

Requires Android: Android 4.0+

Screen DPI: nodpi

SHA1: 0de22a9aff788ae9c27c309334723bffa3a63620

Size: 4.46 MB

What's New:

We've set our privacy policy
Больше Информации

Имя пакета:

com.kimenya.tiba

Дата обновления:

Последняя Версия:

1.0.3

Требуется обновление:

Отправить последнюю версию

Требования:

Android 4.0+