Katekisimu Ndogo

1.0 8

v1.0 por AlberaInfoTech

Baixar Katekisimu Ndogo APK Baixar Katekisimu Ndogo APK
Baixar através do Aplicativo APKFab
Instalação Segura e Rápida • Sem Restrições de Região

Sobre Katekisimu Ndogo

Katekisimu Ndogo Ni msingi wa mafundisho ya imani ya Kanisa Katoliki,
       App hii imeandaliwa kulingana na Katekisimu ndogo ya Kanisa Katoliki, Jimbo kuu la Songea chapisho la mwaka 1998.
        Imegawanyika katika sehemu kuu nne ambapo kila moja inavipengele kadhaa vyenye maswali na majestade ambayo ni msingi katika kujifunza imani ya kanolik katoliki,
zaidi ikihusianisha mafundisho yake nenu la Mungu kutoka katika vitabu mbalimbali vya Biblia takatifu:
      
1: SEHEMU YA KWANZA: IMANI
     - Kipengele hiki kinahusisha Kanuni ya Imani você Kanisa Katotiki amapo pia kimegawanyika katika sehemu kuu 12 ambazo kila moja wapó ndani yake kuna maswali nd
     Maior kuhusiana na kila kipendele kwenye kanuni ya imani.
      
1.0: NASADIKI
        1.1: KWA MUNGU BABA MWENYEZI
        1.2: MUUMBA MBINGU NA DUNIA
        1.3: YESU KRISTU MWANAE WA PEKEE BWANA WETU ALIYETUNGWA KWA ROHO MTAKATIFU ​​AKAZALIWA NA BIKIRA MARIA
        1.4: AKATESWA KWA MAMLAKA YA PONSIO PILATO AKATESWA AKAFA AKAZIKWA AKASHUKIA KUZIMU SIKU YA TATU AKAFUFUKA KATIKA WAFU
        1.5: AKAPAA MBINGUNI AMEKAA KUUME KWA MUNGU BABA MWENYEZI
        1.6: TOKA HUKO ATAKUJA KUWAHUKUMU WAZIMA NA WAFU
        1.7: NASADIKI KWA ROHO MTAKATIFU
        1.8: KANISA TAKATIFU ​​KATOLIKI
        1.9: USHIRIKA WA WATAKATIFU
        1.10: MAONDOLEO YA DHAMBI
        1.11: UFUFUKO WA MIÍIL NA UZIMA WA MILELE
2: SEHEMU YA PILI: SAKRAMENTI
-Sehemu hii inatoa majibu ya maswali kuhusu Liturujia, Neema, Visakramenti, Sakramenti
umuhimu wa Sakramenti, nani na wakati, gani anatakiwa kupokea Sakramenti husika. Sehemu hii pia imegawanyika katika vipengele kama ifuatavyo:
        2.0: LITURJIA
        2.1: NEEMA
        2.2: SAKRAMENTI
        2.3: VISAKRAMENTI
        2: 4: SALA
3: SEHEMU YA TATU: AMRI
Sehemu hii ya Tatu inahusisha uchambuzi wa Amri zote za Mungu na za Kanisa, pia imejikita Katika kutoa majibu kuhusu masuala ya Fadhila, aina za Fadhila, dhambi aina za dhambi, vishawishi na Asili zake,
na pia majibu kuhusu dhamiri. Nayo imegawanyika katika sehemu zifuatazo.
3.0: AMRI KUU
       3.1: AMRI KUMI ZA MNGU
       3.2: AMRI ZA KANISA
       3.3: FADHILA
       3,4: DHAMIRI
       3,5: DHAMBI
       3.6: VISHAVISHI
4: SEHEMU YA NNE: SALA MUHIMU
Sehemu HII ya nne imegawanyika Katika vipengele saba ambavyo vinahusisha zaidi aina mbalimbali za sala kwa wakatoliki ambao ni msingi wa maisha na shughuli zao za kila siku,
 namna ya kusali, wakati wa kusali ikiwa na lengo la kukufanya umshirikishe Não há comentários sobre este texto Karen naye kwa kila jambo ufanyalo kwa siku nzima.
        4.0: SALA ZA ASUBUHI
        4.1: SALA YA JIONI
        4.2: SALA KABLA YA MAFUNDISHO
        4.3: SALA WAKATI WA KUUNGAMA
        4.4: SALA ZA JIONI
        4,5: SALA ZA KOMUNYIO
        4.6: SALA KWA BIKIRA MARIA

Atualização de Katekisimu Ndogo 1.0

Katekisimu Ndogo Ni msingi wa mafundisho ya imani ya Kanisa Katoliki, App hii imeandaliwa kulingana na Katekisimu ndogo ya Kanisa Katoliki , Jimbo kuu la Songea chapisho la mwaka 1998.
Imegawanyika katika sehemu kuu nne ambapo kila moja inavipengele kadhaa vyenye maswali na majibu ambayo ni msingi katika kujifunza imani ya Kanisa katoliki ,
zaidi ikihusianisha mafundisho yake na neno la Mungu kutoka katika vitabu mbalimbali vya Biblia takatifu:
Leia Mais
Recursos de Katekisimu Ndogo
Versões Antigas Mais
Katekisimu Ndogo
Katekisimu Ndogo 1.0 APK
November 13, 2018 2.02 MB

Requires Android: Android 4.0.3+

Screen DPI: 160-640dpi

SHA1: eac021a13c2597259ce7465dc86fad5bb9b715e7

Size: 2.02 MB

What's New:

Katekisimu Ndogo Ni msingi wa mafundisho ya imani ya Kanisa Katoliki, App hii imeandaliwa kulingana na Katekisimu ndogo ya Kanisa Katoliki , Jimbo kuu la Songea chapisho la mwaka 1998.
Imegawanyika katika sehemu kuu nne ambapo kila moja inavipengele kadhaa vyenye maswali na majibu ambayo ni msingi katika kujifunza imani ya Kanisa katoliki ,
zaidi ikihusianisha mafundisho yake na neno la Mungu kutoka katika vitabu mbalimbali vya Biblia takatifu:
Mais Informações

Data de Atualização:

Última Versão:

1.0

Solicite Atualização:

Enviar última versão

Disponível em:

Google Play

Requisitos:

Android 4.0.3+